Vifungashio

Ukurasa huu unatoa taarifa za watengenezaji/wasambazaji wa vifungashio mbalimbali kwa ajili ya bidhaa. Kuna makampuni mengi ndani na nje ya Tanzania yanayoshughulika na utengenezaji wa vifungashio vikiwemo vya karatasi, plastiki na kioo. Ukurasa huu unaonesha orodha ya makampuni hayo na kuainisha namba za simu za watengenezaji kwa mawasiliano, aina za vifungashio na maeneo yanakopatikana. Kwa kuwarahisishia wajasiriamali kujipatia vifungashio, Ofisi za SIDO pia zinawezesha upatikanaji wa vifungashio kulingana na mahitaji ya wajasiriamali. Ofisi za SIDO zipo katika mikoa yote ya Tanzania bara.

Company Name Company Description Packaging material type Contact Details
POLYPET INDUSTRIES LTD

Wanatengeneza aina mbalimbali za chupa kuanzia na yenye ujazo wa mils 40 hadi mils 1500.

Chupa za Plastiki S.L.P 22345 Dar Es Salaam, Kiwanja Na. 427, Mbezi-Beach Makonde karibu na Shamo Industries, Simu: +255 787 793 295, Barua Pepe: polypet-tz@gmail.com Read More
SIDO MOROGORO - INDUSTRIAL AREA Sabuni, Asali, Mvinyo, Mifuko ya unga Lishe, Lebo na Juisi Simu: 0752 430923/0717 778235, S.L.P 1022, Kihonda - Morogoro Read More
STATPACK TANZANIA LTD Watengenezaji na wasambazaji wa vifungashio mbalimbali Anwani: Kipawa, P.O. Box 21730, Dar Es Salaam, Simu: 2400529 +255 (22) 2400530/31 www.stapack.co.ke Read More
TWIGA PACKAGING LTD Watengenezaji wa mifuko ya plastik yenye zipu za ukubwa wowote zikiwemo begi za kutupia madawa Kwa maelezo zaidi wasiliana na info@tpl.co.tz Read More
WEGMAR

 We offer a wide range of custom poly bags which are produced from high quality raw material...

VIFAA VYA PLASTIKI NA KARATASI Simu: +255 784 837500, +255 754 837500 Barua pepe: sales@wegar.co.tz, Tovuti:www.wegmar.co.tz Read More

Pages