EFTA Ltd inatoa mikopo ya:
- Mashine kuanzia tshs 20,000,000-200,000,000
- Hatutoi pesa taslimu
- Kwa miradi ya kilimo,tunatoa mikopo mikubwa zaidi
- Baada ya maombi kukubaliwa,mteja atalipa 10% ya thamani ya mashine papohapo
- Kwa trekta na mashine zinazotembea,malipo ya awali ni 20% ya thamani ya mashine
Baadhi ya vitendea kazi tunavyokopesha ni trekta,mashine za ufyatuaji matofali,green house na udobi.
Sifa za kuomba mkopo,kama
- Una wazo pevu la biashara au fursa ya kuua
- Una uzoefu mzuri kwenye sekta yako,hata kama unaanza biashara
- Una uwezo wa kupata mtaji unaohitajika kwa biashara yako
- Una eneo zuri lenye usalama kwa kufanyia kazi hiyo
Jinsi ya kuomba;wasiliana na EFTA na ujiandikishe jina lako ili uhudhurie semina ya nusu siku na hapo utapewa fomu na maelekezo zaidi.
Swahili
Sekta ya Huduma Inayotolewa:
Anuani, Namba ya Simu:
Mobile: 255 687 292 616;Email;morogoro@efta.co.tz
Mkoa: