Morogoro
MAONESHO YA NYANDA ZA KUSINI MASHARIKI
MAONESHO YA KANDA YA KUSINI MASHARIKI
MASHINE YA KUTENGENEZA SIAGI YA KARANGA
MAELEZO
Nishati: Umeme mota 5 Hp
Uwezo wa kuzalisha: kilo 80 kwa saa
Bei: Tsh 2,600,000/=(as on 18 April 2018)
Mtengenezaji: GAMA METAL WORKS
Kihonda Industrial Estate
S.L.P. 1022
Morogoro
Simu namba; 0677877889
MASHINE YA KUCHARANGA/KUKATAKATA MAJANI(FORAGE CHOPPER)
MAELEZO
Uendeshaji : Injini ya petroli HP 5.5
Uwezo : Kilo.150 kwa saa
Bei: TZS 1,750,000/=( tarehe 18.4.2018)
Inatengenezwa na Intermech Engineering Limited
Kihonda Industrial Estate
S.L.P. 1278
Morogoro
Simu namba; 0713485582/0713771182
Tovuti;www.intermech.ws
MASHINE YA KUKUNA MUHOGO(CASSAVA GRATER)
MAELEZO
Uendeshaji : 5.5 HP Petrol Engine
Uwezo : Kilo 600-800 kwa saa
Matumizi ya mafuta: lita 1.0-1.5 ya petroli kwa saa
Bei :TZ Shilingi 1,950,000/=(18.04,2018)
MASHINE YA MKONO YA KUKEREZA MUHOGO(MANUAL CASSAVA CHIPPER)
Maelezo
Uendeshaji: Mtu mmoja
Uwezo : Kilo 200 kwa saa
Bei : TZ Shilingi 700,000/=(18.04.2018)
for more information contact
Inatengenezwa na Intermech Engineering Limited
Kihonda Industrial Estate
S.L.P. 1278
Morogoro
Simu namba; 0713485582/0713771182
Tovuti;www.intermech.ws
MASHINE YA KUKEREZA MUHOGO(CASSAVA CHIPPER)
MAELEZO
Uendeshaji : Injini ya Petroli 6.5 HP
Uwezo : Kilo 600-800 kwa saa
Matumizi ya mafuta(Fuel Consump) : Lita 1.0-1.5 ya petroli kwa saa
Bei : TZ Shilingi 1,500,000/=(18-04-2018)
Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
Inatengenezwa na Intermech Engineering Limited
Kihonda Industrial Estate
S.L.P. 1278
Morogoro
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI (MAIZE SHELLER M/C)
MAELEZO (SPECIFICATION):
Uendeshaji:injini ya diseli HP 6.5
Uwezo: Kilo 1500-2000 kwa saa
Matumizi ya mafuta(Fuel Consump): Lita 2 za diseli kwa saa
Bei : TZ Shilingi 1,600,000/=(18-04-2018)
Kwa taarifa tafadhali wasiliana na:
Imetengenezwa na : Intermech Engineering
S.LP 1278
Simu 0713 485582, 0784 771182
EFTA EQUIPMENT LOANS
EFTA Ltd inakopesha mashine na kuwasaidia wajasiriamali wadogo na wa kati kupata vitendea kazi katika shughuli zao.
Pages
