MKOA WA MOROGORO
MAELEZO YA MKOA
Mkoa wa Morogoro ni mkoa wa pili kwa ukubwa nchini ukitanguliwa na mkoa wa Tabora. Mkoa una eneo la kilometa za mraba 73.039. Eneo hili ni sawa na asilimia 7.7 ya eneo la Tanzania Bara. kati ya eneo hili Km2 2,240 ni eneo la maji. Mkoa umepakana na mikoa ya Pwani na Lindi kwa upande wa Mashariki, Manyara na Tanga kwa upande wa Kaskazini na kwa upande wa Magharibi umepakana na Mikoa ya Dodoma na Iringa. Upande wa Kusini unapakana na Mkoa wa Ruvuma.
Utawala:
Swahili