Swahili
Malengo:
Kuwawezesha wahusika kuelewa na kuelezea kwa kina njia za ufugaji nyuki,uvunaji , usindikaji wa asali na masega ya nyuki. Lakini pia Kuhakikisha ubora wa bidhaa na kuelewa vitu gani vinahitajika katika kupata soko.
Moduli:
Jina la moduli:
Usindikaji wa asali na masega ya nyuki
Maelezo ya Moduli:
1.Kanuni za ufugaji nyuki.
2.Uvunaji wa asali na usindikaji.
3.Uhakika wa ubora wa asali na masega ya nyuki.
4.HACCP katika sekta ya asali.
5.Bar codes
Kundi Husika Linalolengwa:
Viwanda vidogo vinavyohusika na kilimo na usindikaji ikiwemo wasindikaji na wauza vyakula.
Ada Ya Programu:
TZs 200,000 kwa muhusika mmoja (ada,chakula na steshonari)
Muda wa Kozi:
wiki moja