Mafunzo ya usimamizi wa biashara

Swahili

Mada kuu zitakazofundishwa, utangulizi usimamizi wa biashara, masoko, utunzaji wa kumbukumbu,kupanga bei na gharama,kuandaa mpango wa biashara, na vyanzo vya fedha. Mafunzo yatafanyika Tandahimba mjini.

Mkoa: 
Mtwara
Tarehe Ya Mafunzo: 
08/2/2016 to 12/2/2016