Business Development Service
Mafunzo ya Ujasiriamali
Mada kuu zitakazofundishwa ni, utangulizi kuhusu ujasiriamali, sifa za kuwa mjasiriamali mahili, tathimini binafsi ya kuwa mjasiriamali mahili, tofauti kati ya mjasiriamalimali mahili na mfanyabiashara. Mafunzo yatafanyika masasi mjini
Business plan training
Topic to be coverd
1. The meaning of business plan
2. Uses of business plan
3. conents of business plan
. Itroduction/ Background
. Market plan
. Competitive analysis
. Production plan
. financial plan
4. Practice on how to prepare the business pln using their own business data
Mafunzo ya usimamizi wa biashara
Mada kuu zitakazofundishwa, utangulizi usimamizi wa biashara, masoko, utunzaji wa kumbukumbu,kupanga bei na gharama,kuandaa mpango wa biashara, na vyanzo vya fedha. Mafunzo yatafanyika Tandahimba mjini.
Mafunzo ya usimamizi wa fedha
Mada kuu zitakazofundishwa ni utangulizi usimamizi wa fedha, Bajeti , Kupokea malipo, kufanya malipo,usimamizi wa akaunti benki taarifa za fedha na ukaguzi, taarifa za fedha za mwaka na umuhimu wake katika biashara. Mafunzo yatafanyika Masasi Mjini.
MAFUNZO YA WEB PORTAL KATIKA UKUMBI WA COSTECH
SIDO IMEWAWEZESHA MAOFISA WAKE NA VCIPS KUHUDHURIA MAFUNZO YA WEB PORTAL KATIKA UKUMBI WA COSTECH.
Utunzaji wa kumbukumbu
Mafunzo yatafanyika tarehe 17/11/2015 Mufindi,tarehe 25/11/2015 Njombe na tarehe 5-6th/2/2016 Kilolo
Mafunzo ya Teknolojia
Mafunzo yatafanyika Sumbawanga mjini
IT AWARENESS SKILLS TRAINING
IT AWARENESS TRAINING TO SMEs
mbinu za Biashara na utawala
Mafunzo yatafanyikia Njombe