Mafunzo ya usimamizi wa fedha

Swahili

Mada kuu  zitakazofundishwa  ni  utangulizi usimamizi wa fedha, Bajeti , Kupokea malipo, kufanya malipo,usimamizi wa akaunti benki taarifa za fedha  na ukaguzi, taarifa za fedha za mwaka na umuhimu wake katika biashara. Mafunzo yatafanyika Masasi Mjini.

Mkoa: 
Mtwara
Tarehe Ya Mafunzo: 
27/1/2016 to 28/1/2016