Mradi wa MIVARF, katika wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita

Serikali ya Tanzania inashirikiana na Mfuko wa Kimataifa kwa ajili ya Maendeleo ya Kilimo(IFAD) na Banki ya Maendeleo Afrika(ADB) katika utekelezaji wa mradi wa Miundo mbinu ya masoko,Mnyororo wa thamani na Huduma za kifedha (MIVARF).Lengo kubwa likiwa ni kuwasaidia wakulima katika vikundi kupata mitaji, ujuzi na teknolojia kuongeza ubora na wingi wa bidhaa zao na upatikanaji na masoko.

Mkoa: 
Geita