Swahili
Kozi ya usindikaji wa vyakula itakuwa na sehemu kuu mbili ambazo ni Nadharia na vitendo.
Mafunzo kwa nadharia yatachukua siku tatu na itagusa maada zifuatazo:- y
- Uchaguzi wa Teknolojia ya usindikaji
- Afya na usalama wa chakula
- Njia tofauti za usindikaji
- Ufungashaji
- Kukokotoa gharama na kupanga bei
Mafunzo kwa vitendo yatafanyika kwa siku 3 ambayo yatafundishwa kuzalisha bidhaa 6 kati ya bidhaa zifuatazo kulingana na mahitaji ya washiriki.
- - Jamu ya matunda
- - Unga wa lishe
- - Sosi ya nyanya
- - Juisi ya matunda
- - Uji mzito wa vitunguu saumu
- - siagi ya karanga
- - Kinywaji cha soya
- - soya lishe
- - Maziwa ya soya
- - keki
- - Mkate
- - biskuti
Fomu ya Kujiunga:
Mkoa:
Tanga
Tarehe Ya Mafunzo:
15/2/2016 to 20/2/2016
16/5/2016 to 21/5/2016