Teknolojia ya usindikaji wa vyakula

Swahili

Kozi ya usindikaji wa vyakula itakuwa na sehemu kuu mbili ambazo ni Nadharia na vitendo.

Mafunzo kwa nadharia yatachukua siku tatu na itagusa maada zifuatazo:-  y

 - Uchaguzi wa Teknolojia ya usindikaji

 - Afya na usalama wa chakula

 - Njia tofauti za usindikaji

 -  Ufungashaji

 - Kukokotoa gharama na kupanga bei

 

Mafunzo kwa vitendo  yatafanyika kwa siku 3 ambayo yatafundishwa kuzalisha bidhaa 6 kati ya bidhaa zifuatazo kulingana na mahitaji ya washiriki. 

  •  - Jamu ya matunda
  •  - Unga wa lishe
  •  - Sosi ya nyanya
  •  - Juisi ya matunda
  •  - Uji mzito wa vitunguu saumu
  •  - siagi ya karanga
  •  - Kinywaji cha soya
  •  - soya lishe
  •  - Maziwa ya soya
  •  - keki
  •  - Mkate
  •  - biskuti
  •  
  •  
  •  
Fomu ya Kujiunga: 
Mkoa: 
Tanga
Tarehe Ya Mafunzo: 
15/2/2016 to 20/2/2016
16/5/2016 to 21/5/2016