MAFUNZO YA SABUNI YAWA SULUHISHO KWA WATU WASIO NA AJIRA
Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo SIDO Rukwa latoa suluhisho la ajira kwa wananchi.
Mafunzo hayo yalifanyika kuanzia tarehe 11.05.2020 mpka tarehe 15.05.2020.
Mafunzo haya yalishirikisha wajasiriamali watatu(3) toka katika Manispaa ya Sumbawanga. Lengo la Mafunzo hayo yalikuwa ni kutoa ujuzi kwa wajasiriamali katika kuanzisha viwanda vidogo, kutoa ajira na kukuza vipato kwa wananchi.
Swahili